Tuesday, August 8, 2017

ZARI NA HAMISA WALIAMSHA DUDE UPYAA!

Tags


Kama wewe ni mfuatiliaji wa stori za Mastaa mtandaoni utakuwa umekutana na vijembe vinavyoendelea kati ya Zari na Hamisa, TeamZari na TeamHamisa. Na raha ya Ubuyu wa mtandaoni uwe na bando tu, nikualike upepese macho kwenye hizi status zilizojili mtandaoni leo













Majibu umepata baada ya kujisomea mwenyewe kilichoandikwa na wahusika katika picha hizo. Hii ndiyo raha ya mtandao uwe na bando tu


EmoticonEmoticon