Friday, August 11, 2017

PICHA 33 ZA JUMBA LA KIFAHARI LA SULTAN SAYYID SAID

Tags

Sultan Sayyid Said aliyetawala Oman na Visiwa vya Zanzibar wakati huo. Pia utakumbuka kuwa alihamia Zanzibar mnamo mwaka 1840. Hapa chini nimekuwekea picha zikionyesha makazi yake, vitu vyake alivyopendelea, sehemu aliyolala enzi za utawala wake, sehemu aliyopenda kukaa yeye na Mke wake kipenzi, twende pamoja Sehemu aliyopenda kukaa na malkia Hizi picha mbili ni zamakaburi sehemu alipolala yeye na familia yake Ikumbukwe kuwa utawala huu wa kisultani uling'olewa na mapinduzi ya Zanzibar.


EmoticonEmoticon