Sunday, August 6, 2017

ARSENAL WAITUNGUA CHELSEA NGAO YA JAMII

Tags


Washika Bunduki wa jiji la London, Arsenal wameweza kuitupilia mbali klabu ya Chelsea kwa mikwaju 4-1 baada ya kutoka sare ya 1-1. Na hivyo kuwa machampioni wapya wa ngao ya jamii kuashiria msimu mpya wa ligi kuu ya England 'EPL'.
MCHEZO HUO UMEFANYIKA LEO


EmoticonEmoticon