
Msanii wa Bongo fleva nchini Tanzania Nuh Mziwanda ambaye alikuwa ameagana na kambi ya Ukapera,amerejea kambini hapo bila taarifa baada ya kuachana na aliyekuwa mama mtoto wake Nawal. Sababu kubwa ni kuwa huyu jamaa alikuwa haijali familia yake na hivyo kupelekea mke huyo kufungasha virago.

EmoticonEmoticon