Saturday, August 5, 2017

MTANGAZAJI WA CLOUDS RADIO AAGA RASMI

Tags


Mtangazaji machachari wa kipindi maarufu na chenye wasikilizaji wengi kuliko vipindi vyote vya mchana 'XXL' cha Clouds radio ya jijini Dar es Salaam ajulikanaye kwa Jina la Kenedy awaaga rasmi mabachela wenzake na kuingia kambi mpya ya wanandoa. Hayo yametokea jijini Dar es Salaam nchini Tanzania na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo marafiki zake kutoka Clouds Media Group. Hizi ni baadhi ya picha zake


akiwa na ndugu na rafiki zake


EmoticonEmoticon