Wekundu wa Msimbazi Simba wamevunja ukimya na kuufahamisha umma wa wanasimba kuwa HARUNA ni Mchezaji halali wa klabu hiyo na muda wowote kuanzia sasa ataungana na wenzake kambini Afrika ya Kusini
Na huu ni wakati muafaka kuelekea Wiki ya Simba, ambapo zimebaki siku Saba
NIYONZIMA atakuwa na wenzake kwa siku chache kwani tarehe 5-8-2017 timu itakuwa kwenye ardhi ya Magufuli tayari kwa maadhimisho ya siku ya Simba yatakayofanyika tarehe 8-8-2017
EmoticonEmoticon