Soko kuu la Sido jijini Mbeya linawaka moto huku chanzo cha moto huo ikiwa ni kitendawili kisicho na majibu hadi hivi sasa. Harakati za kuuzima zinaendelea mpaka muda huu. Tutaendelea kukuleteeni kila kinachoendelea.
EmoticonEmoticon
EmoticonEmoticon