Thursday, August 3, 2017

SIMBA SPORTS CLUB YAWADUWAZA MABINGWA WA LIGI YA AFRIKA YA KUSINI

Tags


Klabu ya Simba imeishangaza Timu ya soka ya Afrika ya Kusini "Bidvet" kwa kutoka sare ya 1-1, hii ni kuelekea siku ya Simba itayofanyika tarehe 8-8-2017. Ni siku ambayo Timu ya Simba itatambulisha mashine zake zote ilizosajili msimu huu. Miongoni mwa Wachezaji hao ni pamoja na John Bocco Adebayo, Haruna Niyonzima,Emanuel Okwi, nk hii ni vita kuelekea ligi kuu msimu wa 2017/2018. Tarehe 5-8-2017 watarejea nchini wakitokea Afrika ya Kusini ambako waliweka kambi yao.


EmoticonEmoticon