Friday, August 18, 2017

Umesikia alichokisema Baba yake Diamond kuhusu mtoto wa Mobeto?

Tags

Kutokana na maneno kuenea mtandaoni kuwa mtoto wa Hamisa Mobeto kuwa ni wa Diamond, Mobeto kawaacha midomo wazi mashabiki wa muziki Tanzania baada ya kumpa mtoto huyo jina la Naseeb Abdul,, Shilawadu wakaona wamfuate baba wa Diamond na kumuuliza juu ya jina hilo kupewa mtoto wa Mobeto. Baba Diamond amekubaliana na hilo na akasisitiza "Diamond ni mtu mwenye pesa hivyo anaweza kuoa hata wake wanne, na pia wao wasigombane kwani mmoja anaweza kuwa mke mkubwa na mwingine mdogo" maana yake Zari atakuwa mkubwa na Hamisa atakuwa mdogo


EmoticonEmoticon