Kocha wa kikosi cha Simba Joseph Omog amemdhihirishia ubora wake Kocha mwenzake wa Yanga baada kumkandamiza kwa magoli 5-4 njia ya penati baada ya dakika 90 kumalizika pasipo na mshindi, na ndipo maguu ya mtu mzima yalipochukua nafasi na kumshuhudia MO Ibrahim kuifungia Simba penati ya sita baada ya tano za mwanzo kumalizika kwa bao 4-4 huku Yondan na Zimbwe Jr kukosa penati zao. Hii ikamfanya kocha Omog na kikosi chake kuitoa zawadi ya Ngao ya Jamii kwa mashabiki wao na kuwapa tafsiri kuwa ligi itakuwa na ushindani mkubwa lakini wao watatwaa ubingwa huo baada ya kuonyesha kiwango safi cha soka.
Makipa nao hawakuwa nyuma baada ya kupangua penati moja moja kati ya zilizopigwa
Wednesday, August 23, 2017
KOCHA OMOG AENDELEZA UBABE KWA LWANDAMINA
Diterbitkan August 23, 2017
Tags
Artikel Terkait
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon