Sunday, August 6, 2017

MASHINE MPYA YATUA YANGA KUTOKA MBEYA CITY

Tags


Katika kukamilisha usajili unaoendelea Tanzania kwa vilabu vyote vya ligi Tanzania bara "VPL". Tetesi zinazobamba mtandaoni kwa sasa ni juu ya Mchezaji kutoka Mbeya City kujiunga na timu ya Soka ya Yanga. Taarifa hizi zimewachanganya sana mashabiki wa Yanga kwani wao wanaamini ni sawa na gari la mkaa kuibukia kwenye barabara ya lami. Shabiki mmoja alisikika akisema kama ni kweli watakuwa wametukosea sana sisi mashabiki. Mchezaji huyo ni mkongwe wa muda mrefu kwenye soka la Tanzania na timu ya soka ya Yanga Mrisho Halfan Ngasa.


EmoticonEmoticon