Mrembo kutoka Burundi aliyejipatia followers wa kutosha toka Bongo anayejulikana kwa jina la Jesca. Ameibuka na kauli hii baada ya mashabiki wa Diamond Platnum kusema anataka Kiki, yeye kasema hahitaji Kiki anachotaka ni kauli ya Diamond kuwa Mapacha wale ni wake au si wake, na kwa kuthibitisha hilo katoa mpaka wimbo ambao CHIBU kaonekana na huyu Shemeji yetu Jesca anaonekana humo kama video Queen. Jesca wimbo huo ndo uliowakutanisha yeye na Ngote na baada ya project hiyo ndipo walipoingia kwenye mahusiano yaliyoleta Mapacha hao. Ukiiangalia vizuri ile video inamuonesha Diamond wa wakati ule namaanisha yule wa Tandale. Baada ya kufanya mahojiano na Jesca, aliiambia Sayarinewz kuwa hana mpango na Kiki kwani yeye ni maarufu tayari hivyo kikubwa anahitaji haki yake tu.
Friday, September 22, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon