Monday, September 11, 2017

KUTOKA WCB, HARMONIZE ANASEMA AMECHOKA


Msanii Harmonize kutoka kundi la WCB anasema kachoka, nini kimemchosha? Stori nzima hapa chini Mwanamuziki kutoka kundi la Wasafi lililo chini ya Simba "Plutnum" wenyewe wanamwita SHIMO LA MITUZO,ameachia ngoma mpya inayokwenda kwa Jina la NIMECHOKA. Hii ngoma mpya isiyo na muda mrefu toka kuachiwa kwake..
 Hiyo ngoma Inaonekana ni kijembe kwa mtu wake au demu wake ambaye ni huyu mzungu au dada yetu mwenye nyota ya pesa Wolper waliyebwagana miezi kadhaa nyuma. Jibu analo mwenyewe ila kwa wanyapiaji wa mambo wanasema hii ngoma ni bakora kwa dada yetu waliyetemana kama big G. Ni ngoma nzuri sana 
Harmonize anaendelea kuthibitisha ubora wake katika muziki ndani na nje ya kundi la Wasafi WCB, anakualika kuendelea kusikiliza ngoma yake hiyo. 


EmoticonEmoticon