Sunday, September 3, 2017

UTAJIRI WA MASANJA MKANDAMIZAJI GUMZO NCHINI

Msanii wa Vichekesho kutoka kundi la Orijino Komedi la Tanzania na ambaye ni mwimbaji wa nyimbo za injili, amekuwa gumzo kutokana na UTAJIRI wake ambao anao. Anamiliki magari ya thamani kubwa, mijumba ya thamani, mashamba ya mpunga ya Kapunga Mbeya na Morogoro, na sasa anatarajia kuleta ndege

Karibu kwenye app yetu ya SAYARI NEWZ APP


EmoticonEmoticon