Wednesday, September 20, 2017

MATONYA AMESEMA ANAJUTA KUIFAHAMU KENYA

Huyu ndiyo Matonya Mbili kutoka jijini Tanga anakimbiza mpaka Kenya. 
Mkongwe wa Bongofleva kutoka jijini Tanga asiyeisha vituko Matonya, ametoa kali ya mwaka baada ya kugundua kuwa kona zote zimebana na hawezi kufanya chochote kirahisi kama ilivyokuwa zamani,akapiga hesabu akaona hazisomi hata kidogo Ile anageuka nyuma hivi MASHILAWADU wamejaa na makamera yao akaona isiwe kesi akawatoka kama vile anarudi mara paaaaa kijana ndani ya Kenya. Jamaa akajua amejinusuru kutoka mikononi mwa Wanyapiaji, Mara MASHILAWADU hawa hapa.... Unajua kwanini alikuwa anawakwepa Wanyapiaji na kwenda kujichimbia nchini Kenya..... 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Kilichofuata hapo ilikuwa ni mnyonyo kwa kwenda mbele.
      Kwa habari motomoto tafadhali tembelea blog yetu ya www.sayarinewz.blogspot.com ambayo iko ndani ya App ya kijanja zaidi ambayo ipo GOOGLE PLAYSTORE I download App uendelee kupata habari bila mipaka. 


EmoticonEmoticon