Saturday, September 16, 2017

ZITTO ZUBERI KABWE AMEZUNGUMZIA KUUNGUA KWA NYUMBA YAKE

Tags

Mbunge wa Kigoma Mh. Zitto Kabwe katweet masaa mawili yaliyopita kupitia ukurasa wake wa tweeter kuwa nyumba yake ya Kigoma aliyokuwa akiishi imeteketea kwa moto hivyo ndugu jamaa na marafiki anawashukuru sana kwa msaada wao, pia hakuacha kuwashukuru jeshi la zimamoto kwa kazi waliyoifanya Check out @zittokabwe's Tweet: https://twitter.com/zittokabwe/status/909102400794918913?s=09


EmoticonEmoticon