Saturday, September 2, 2017

KENYATTA AWAAMBIA WAKENYA MSEMAKWELI NI DEBE

Tags

Aliyekuwa rais wa Kenya kabla ya mahakama ya juu kufutilia mbali matokeo ya Uchaguzi ambayo yalimweka madarakani Uhuru Kenyatta, amewaambia mamilioni ya wa Kenya waliojitokeza kumsikiliza jana kuwa Kamwe hawaogopi marudio ya Uchaguzi. Kenyatta aliwaambia wanakenya kuwa hakuna SERIKALI ya nusu mkate Pia akawakumbusha kuwa msema kweli ni DEBE, na hiyo ni kuashiria kuwa yuko tayari kwa mpambano mpya utakaowafikisha mwezi wa kumi na moja kwenye Uchaguzi mpya Ili usipitwe na taarifa mbalimbali mpya kama hizi tafadhali pakua App yetu ya SAYARINEWZ APP ambayo itakusogezea Habari kiganjani kwako.... Facebook... Sayarinewz


EmoticonEmoticon