Msanii wa Bongo fleva nchini Tanzania Shilole na ambaye ni msanii wa Filamu Tanzania amefunguka leo kuwa kwa sasa watu wakae mkao wa kusubiri Ndoa yake na mpenzi wake wa sasa anayejulikana kama Uchebe. Ameyasema hayo alipokuwa akihojiwa na AyoTv na kubainisha kuwa barua ya uchumba tayari imetua kwao na sasa ni maandalizi ya hatua inayofuata
Ameenda mbele zaidi kufafanua juu ya tuhuma anazopata toka kwa mke wa Uchebe, akasema "yule si mke wa Uchebe bali ni mtalaka wake kwani waliachana kitambo na sasa ni mali yake" na kaahidi kulea mtoto wa mume wake iwapo mume wake atamtaka afanye hivyo.
Kwa habari za ndani ya nchi na nje ya nchi za kiuchumi, burudani, sanaa, michezo, na ujasiriamali tembelea blog yetu..... Pia Usisahau kupakua Application yetu ya Sayarinewz Ambayo ipo Google Playstore
Saturday, September 2, 2017
Shilole aka Shishikiuno aposwa "mke mtarajiwa"
Diterbitkan September 02, 2017
Tags
Artikel Terkait
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon