Sunday, September 17, 2017

UJENZI WA SOKO LA SIDO MBEYA ULIPOFIKIA MPAKA SASA

Tags

Soko maarufu jijini Mbeya, Nyanda za juu kusini na nje ya Tanzania kwa nchi za Malawi, Zambia, Msumbiji na Kongo lililokuwa limeungua moto siku za nyuma kidogo na kuzua kizaa zaa kwa wafanyabiashara wa eneo kwa hofu ya kuondolewa katika eneo lakini serikali baada ya kukaa na wamiliki wa eneo hilo waliwaruhusu kujenga tena katika eneo hilo kurusu shughuli kuendelea. Kwa sasa liko katika hatua za mwishoni kama linavyoonekana katika picha hapo chini.
Muda si mrefu Furaha itarejea kwa wakazi wa jiji la Mbeya na viunga vyake, kwani kuungua kwa soko hili kulipelekea bei za bidhaa kupanda kutokana na baadhi ya wafanyabiashara wasio waungwana kupandisha bei kwa kisingizio cha uunguaji wa soko hilo. Ndugu msomaji usikae mbali na blog yetu ya www.sayarinewz.blogspot.com na pia kwa sasa tunapatikana kwenye App yetu ya SAYARI NEWZ ambayo ipo GOOGLE PLAYSTORE. Pia tufuate kwenye mitandao ya kijamii ya Facebook na Instagram na whatsapp muda si Mrefu. 


EmoticonEmoticon