Msanii wa Vichekesho nchini, Mjasiliamali, mwimbaji wa muziki wa Injili na mhubiri kutoka Tanzania ajulikanaye kwa Jina la Masanja Mkandamizaji hii leo ameonyesha ishara ya kuashiria mke wake kipenzi Monica kuwa ni mjamzito baada ya kuficha ncha ya matumbo yao kwa shati Lake.
Tendo limetokea Airport ambapo mke wa Masanja Mkandamizaji (MONICA) alimsindikiza mme wake na Masanja katika kukwepa kamera zetu ndipo alipofanya ficho hilo kwa kutumia shati lake.
Huu ni muendelezo wa ziara zake za huduma ya mahubiri pamoja na uimbaji na safari hii akielekea Kanda ya ziwa mkoani Mwanza, kama Tangazo hili hapa chini linavyojieleza lenyewe.
Ndugu msomaji wetu tunaomba usichoke kupitia na kusoma kilichoandikwa ndani ya blog yetu ya www.sayarinewz.blogspot.com ambayo pia kwa sasa inapatikana kwenye application yetu pendwa ya Sayarinewz App inayopatikana Google Playstore
EmoticonEmoticon