Mrembo kutoka Burundi aliyejipatia followers wa kutosha toka Bongo anayejulikana kwa jina la Jesca. Ameibuka na kauli hii baada ya mashabiki wa Diamond Platnum kusema anataka Kiki, yeye kasema hahitaji Kiki anachotaka ni kauli ya Diamond kuwa Mapacha wale ni wake au si wake, na kwa kuthibitisha hilo katoa mpaka wimbo ambao CHIBU kaonekana na huyu Shemeji yetu Jesca anaonekana humo kama video Queen. Jesca wimbo huo ndo uliowakutanisha yeye na Ngote na baada ya project hiyo ndipo walipoingia kwenye mahusiano yaliyoleta Mapacha hao. Ukiiangalia vizuri ile video inamuonesha Diamond wa wakati ule namaanisha yule wa Tandale. Baada ya kufanya mahojiano na Jesca, aliiambia Sayarinewz kuwa hana mpango na Kiki kwani yeye ni maarufu tayari hivyo kikubwa anahitaji haki yake tu.
Home
Archives for September 2017
Friday, September 22, 2017
Wednesday, September 20, 2017
LINAH SANGA ANASEMA PICHA ZA UTUPU KAMA KAWA
Diterbitkan September 20, 2017
Tags
http://www.youtube.com/watch?v=Cx7UT25bewO
Mwanadada Linah Sanga leo amefanyiwa exclusive interview na Kituo cha luninga cha Channel 5 kupitia kipindi cha Enewz... Ambapo aliulizwa vipi kupiga picha za utupu? Linah kajibu kama kawa kikubwa ni ambavyo mimba ya pili itakavyonituma nifanye.. Sitii neno hapo..... Kikubwa endelea kutembelea blog yetu kwa habari motomoto na zile za Mastaa ni hapa hapa www.sayarinewz.blogspot.com ambayo kwa sasa inapatikana kwenye App yetu ya kijanja inayokwenda kwa Jina la Sayarinewz App. Usipate shida ingia Google Playstore search utaikuta kisha Download. Asante kwa Sapoti yako.
I
MATONYA AMESEMA ANAJUTA KUIFAHAMU KENYA
Diterbitkan September 20, 2017
Tags
Mkongwe wa Bongofleva kutoka jijini Tanga asiyeisha vituko Matonya, ametoa kali ya mwaka baada ya kugundua kuwa kona zote zimebana na hawezi kufanya chochote kirahisi kama ilivyokuwa zamani,akapiga hesabu akaona hazisomi hata kidogo Ile anageuka nyuma hivi MASHILAWADU wamejaa na makamera yao akaona isiwe kesi akawatoka kama vile anarudi mara paaaaa kijana ndani ya Kenya. Jamaa akajua amejinusuru kutoka mikononi mwa Wanyapiaji, Mara MASHILAWADU hawa hapa.... Unajua kwanini alikuwa anawakwepa Wanyapiaji na kwenda kujichimbia nchini Kenya..... 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Kilichofuata hapo ilikuwa ni mnyonyo kwa kwenda mbele.
Kwa habari motomoto tafadhali tembelea blog yetu ya www.sayarinewz.blogspot.com ambayo iko ndani ya App ya kijanja zaidi ambayo ipo GOOGLE PLAYSTORE I download App uendelee kupata habari bila mipaka.
Sunday, September 17, 2017
PITIA MAGAZETI YA LEO JUMATATU YA SEPTEMBA 18,2017 TUKIWA TUMEKUWEKEA MAGAZETI YOTE YA KISWAHILI NA KIINGEREZA
Diterbitkan September 17, 2017
Tags
Karibu ndani ya Sayarinewz Magazeti uweze kusoma kilichoandikwa kwenye Magazeti ya leo jumatatu kwenye Magazeti ya Tanzania pekee yakiwa katika lugha za kiswahili na kiingereza. Karibu sana
Asante kwa kuchagua Sayarinewz kuwa mtandao wako kila wakati, nasi tunakuahidi kukupa kile kilicho bora zaidi ya hapa. Mualike rafiki yako kutembelea blog hii na kutoa maoni pia kipi kiongezwe au tufanye nini pia.Usisahau pia kuwa tupo GOOGLE PLAYSTORE search na download APPLICATION yetu inayojulikana kama SAYARI NEWZ APP.
Asante kwa kuchagua Sayarinewz kuwa mtandao wako kila wakati, nasi tunakuahidi kukupa kile kilicho bora zaidi ya hapa. Mualike rafiki yako kutembelea blog hii na kutoa maoni pia kipi kiongezwe au tufanye nini pia.Usisahau pia kuwa tupo GOOGLE PLAYSTORE search na download APPLICATION yetu inayojulikana kama SAYARI NEWZ APP.
UJENZI WA SOKO LA SIDO MBEYA ULIPOFIKIA MPAKA SASA
Diterbitkan September 17, 2017
Tags
Soko maarufu jijini Mbeya, Nyanda za juu kusini na nje ya Tanzania kwa nchi za Malawi, Zambia, Msumbiji na Kongo lililokuwa limeungua moto siku za nyuma kidogo na kuzua kizaa zaa kwa wafanyabiashara wa eneo kwa hofu ya kuondolewa katika eneo lakini serikali baada ya kukaa na wamiliki wa eneo hilo waliwaruhusu kujenga tena katika eneo hilo kurusu shughuli kuendelea. Kwa sasa liko katika hatua za mwishoni kama linavyoonekana katika picha hapo chini.
Muda si mrefu Furaha itarejea kwa wakazi wa jiji la Mbeya na viunga vyake, kwani kuungua kwa soko hili kulipelekea bei za bidhaa kupanda kutokana na baadhi ya wafanyabiashara wasio waungwana kupandisha bei kwa kisingizio cha uunguaji wa soko hilo. Ndugu msomaji usikae mbali na blog yetu ya www.sayarinewz.blogspot.com na pia kwa sasa tunapatikana kwenye App yetu ya SAYARI NEWZ ambayo ipo GOOGLE PLAYSTORE. Pia tufuate kwenye mitandao ya kijamii ya Facebook na Instagram na whatsapp muda si Mrefu. MHENGA OKWI ANAIZAMISHA MWADUI
Diterbitkan September 17, 2017
Tags
Mhenga Okwi anawathibitishia mashabiki wake kuwa yeye ndo bingwa wa kucheka na nyavu baada ya kuipatia timu yake ya Simba bao la pili katika dakika ya 67, na kuifanya Simba kuongoza kwa 2-0. Ndugu msomaji endelea kuwa karibu na blog yetu ya SAYARINEWZ na pia download APPLICATION YETU YA SAYARINEWZ ili uendelee kupata habari zikiwa bado za moto kabisa.
Saturday, September 16, 2017
Pitia Magazeti ya leo jumapili ya tarehe 17/9/2017 hapa ndani ya Sayarinewz
Diterbitkan September 16, 2017
Tags
Karibu ndani ya Sayarinewz Magazeti uweze kusoma kilichoandikwa kwenye Magazeti ya leo pia Magazeti ya dini yako ndani, tafadhali karibu na usisahau kupakua Application yetu ya SAYARINEWZ ambayo ipo Google playstore
Karibu ndani ya blog yetu kila siku taarifa mbalimbali za kiuchumi, burudani, sanaa, michezo kutoka ndani na nje ya Tanzania kila siku ukiwa na www.sayarinewz.blogspot.com bila kusahau kuidownload (kuipakua) app yetu ya SAYARINEWZ APP
Karibu ndani ya blog yetu kila siku taarifa mbalimbali za kiuchumi, burudani, sanaa, michezo kutoka ndani na nje ya Tanzania kila siku ukiwa na www.sayarinewz.blogspot.com bila kusahau kuidownload (kuipakua) app yetu ya SAYARINEWZ APP
Subscribe to:
Posts (Atom)