Monday, July 31, 2017

TAARIFA NZURI KUTOKA KWA THOMAS ULIMWENGU

Tags


Mchezaji wa kimataifa kutoka Tanzania anayecheza soka lake la kulipwa nchini Sweden THOMAS ULIMWENGU amefanyiwa upasuaji wa goti lake na anaendelea vizuri. Kesho ataanza mazoezi mepesi ya kutembea. Siku za hivi karibuni hajawa katika kiwango kizuri kutokana na tatizo la goti. Pamoja na yote Thomas Ulimwengu amemshukuru Mungu, ameandika kupitia akaunti yake ya Instagram.......
Mungu amjalie afya iimarike na arudi uwanjani.


EmoticonEmoticon