Friday, July 28, 2017

HARMONIZE AMLETA MR NICE

Tags

Katika hali isiyotarajiwa na wengi, Msanii kutoka kundi la WCB Wasafi anayekwenda kwa Jina la Harmonize amemtumia Mr. Nice katika video yake mpya iitwayo Sina ambapo ndani ya Video hiyo katupiwa gwiji wa TAKEU style MR.NICE kama mhanga wa stori. Ni ubunifu mkubwa na naamini baada ya video hii tutarajie mapya kutoka Kwa Mr. Nice kama ambavyo Wasafi walivyotumia vionjo vya wimbo wa Salome ambao ni wa mkongwe mwingine ambaye alipotea sana dada yetu Saida Kalori baada ya wimbo kukick Saida karudi na sasa ni mapya tunasubiri baada ya video hii kuhit zaidi.


EmoticonEmoticon