Emanuel Okwi katua rasmi Afrika ya kusini na kuungana na wenzake kambini, hii inawafanya mashabiki wa timu hiyo ya jijini Dar es Salaam kushusha pumzi kwani ndo Mchezaji kipenzi ambaye huwapa raha akiwa uwanjani. Na sasa anayesubiriwa ni kipenzi mwingine ambaye muda wowote atawasili kambini kwa taarifa zilizopo ambazo klabu ya Simba itazithibitisha yenyewe wakati wowote.
EmoticonEmoticon