Monday, July 31, 2017

MAGAZETI YA LEO AGOSTI

Tags
Soma Magazeti yote ya leo hapa upate kujua yaliyojiri http://millardayo.com/mgaugust1/

GOODLUCK GOSBERT-SHUKRANI

Mwimbaji wa nyimbo za injili ndugu Goodluck Gozbert kaachia wimbo mpya unaoitwa SHUKRANI https://my.notjustok.com/track/250972/goodluck-gozbert-shukrani

TAARIFA NZURI KUTOKA KWA THOMAS ULIMWENGU

Tags

Mchezaji wa kimataifa kutoka Tanzania anayecheza soka lake la kulipwa nchini Sweden THOMAS ULIMWENGU amefanyiwa upasuaji wa goti lake na anaendelea vizuri. Kesho ataanza mazoezi mepesi ya kutembea. Siku za hivi karibuni hajawa katika kiwango kizuri kutokana na tatizo la goti. Pamoja na yote Thomas Ulimwengu amemshukuru Mungu, ameandika kupitia akaunti yake ya Instagram.......
Mungu amjalie afya iimarike na arudi uwanjani.

MASTAA WA BONGO WALIOSUMBUA INSTAGRAM NDANI YA MASAA 24

Tags

Ndani ya saa 24 ilikuwa shida mtandaoni hasa Instagram, Mastaa walionyeshana ubabe wa photo na aliyetikisa ni MOND&ZARI




Na wengine hawakubaki nyuma, FAIZALLY naye na uzombi wake

Huku na huku TAUSI naye huyoooo

Hakika ilikuwa shidaa KABAISAR naye hakubaki nyuma

Naye HARMONIZE na BABY YAKE huyoo

AUNT EZEKIEL NA FAMILY YAKE

KIBONGE MWEPESI akasema hakubali

HAMISA MOBETO naye huyoooo

Hakika ilikuwa motoooo tusubiri kesho tuone nani zaidi



PEPSI YALETA GUMZO MTAANI BAADA YA KUTUMIKA KUSAFISHIA BETRI ZA MAGARI



Kinywaji cha Pepsi chaleta maswali na gumzo mtaani baada ya kutumika kusafishia betri za pikipiki, magari na solar. Kinachofanyika ni hiki,
Kwanza, kabisa mwaga maji yaliyokuwa yakitumika kwenye betri kisha liache juani likauke. Pili, chukua Chupa za Pepsi za kutosha weka kwenye kila tundu la betri Kinywaji hicho. Tatu, tikisa kwa nguvu betri hilo ili kuondoa uchafu na kuruhusu soda kupenya kwenye seli. Nne, mwaga uchafu huo chini na hakikisha betri inakuwa kavu kabisa. Tano, weka maji mapya kwenye betri hiyo kwa kiasi lengwa na kisha iweke juani ipate joto na chaji ya kuanzia. Sita, itoe iko tayari kwa matumizi. Ya gari ipeleke uchaji kwanza, ya sola kaiunge kwenye system ya solar tayari kwa matumizi.

Watu wanahoji ikiwa inafanya kazi ya kuamsha seli za betri vipi kuhusu afya ya mtumiaji? Haina madhara? Tafadhali tupe maoni yako ndugu msomaji katika hili.

Sunday, July 30, 2017

SAFARI ZA MASANJA MKANDAMIZAJI ZAZUA MASWALI

Tags




Hizi ni baadhi ya picha ambazo Masanja Mkandamizaji amepiga akiwa maeneo tofauti nchini Marekani. Hii inaonesha Masanja ni kama anataka kuhamia

huko au ni ziara za kikazi? Mashabiki bado wana maswali juu ya safari hizi, picha zote ziko hapa chini.....





Saturday, July 29, 2017

OKWI NDANI YA NYUMBA

Tags


Emanuel Okwi katua rasmi Afrika ya kusini na kuungana na wenzake kambini, hii inawafanya mashabiki wa timu hiyo ya jijini Dar es Salaam kushusha pumzi kwani ndo Mchezaji kipenzi ambaye huwapa raha akiwa uwanjani.
Na sasa anayesubiriwa ni kipenzi mwingine ambaye muda wowote atawasili kambini kwa taarifa zilizopo ambazo klabu ya Simba itazithibitisha yenyewe wakati wowote.

Friday, July 28, 2017

HARMONIZE AMLETA MR NICE

Tags
Katika hali isiyotarajiwa na wengi, Msanii kutoka kundi la WCB Wasafi anayekwenda kwa Jina la Harmonize amemtumia Mr. Nice katika video yake mpya iitwayo Sina ambapo ndani ya Video hiyo katupiwa gwiji wa TAKEU style MR.NICE kama mhanga wa stori. Ni ubunifu mkubwa na naamini baada ya video hii tutarajie mapya kutoka Kwa Mr. Nice kama ambavyo Wasafi walivyotumia vionjo vya wimbo wa Salome ambao ni wa mkongwe mwingine ambaye alipotea sana dada yetu Saida Kalori baada ya wimbo kukick Saida karudi na sasa ni mapya tunasubiri baada ya video hii kuhit zaidi.

Karibu sayari newz kwa habari za uhakika

Tags
Habari ndugu msomaji wangu mpenda? upo unatazama na kusoma blog yako pendwa ijulikanayo kama Sayari Newz. Tunakuahidi kukupa vitu vyenyewe unapenda kila siku. Tebelea blog hii ya sayari newz kila siku upate habari na matukio ya uhakika.


Ukiwa na tangazo la biashara au unataka kutangaza huduma kama huduma za kiroho huduma za nafasi za kujiunga na chuo au sekondari unayomiliki au una kituo cha afya leta tangazo tukutangazie hapa kwa bei ndogo sana. Wasiliana nasi bonyeza comment hapa chini andika unataka utangaze nini tutakujibu.

saidia kushare blog hii kwenye mitandao ya kijamii kama facebook whatsapp kwenye magroup yote uliyojiunga ili rafiki zako wote waje hapa kwenye blog ya ukweli. Tuma anwani ya blog hii ambayo ni sayarinewz.blogspot.com mtu yoyote akibonyeza link hiyo ataletwa kwenye blog hii. Karibu sana