Tumerudi upya kukuhabarisha Habari mbalimbali za uchumi na ujasiriamali. Kaa karibu nasi muda wote masaa 24
posted from Bloggeroid
https://sayarinewz.blogspot.com/2019/07/karibu-sayarinewz-tanzania.html
Monday, July 15, 2019
Saturday, October 7, 2017
PITIA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI YA TAREHE OKTOBA 8,2017
Sayari Newz tumekusogezea Magazeti ya leo jumapili ya tarehe 8/10/2017 yakiwa yamesheheni habari za kitaifa, kimataifa na zile za michezo,usipitwe....
Usiwe wa mwisho katika kusoma Magazeti ndani ya Sayarinewz Newz kuwa wa kwanza sasa, sayarinewz.blogspot.com kwa sasa inapatikana kwenye application yetu pendwa ya Sayarinewz App, Magazeti haya ni kwa hisani ya millardayo.com
![]() |
Friday, October 6, 2017
MASANJA MKANDAMIZAJI AONESHA ISHARA YENYE UTATA KWA WATANZANIA
Msanii wa Vichekesho nchini, Mjasiliamali, mwimbaji wa muziki wa Injili na mhubiri kutoka Tanzania ajulikanaye kwa Jina la Masanja Mkandamizaji hii leo ameonyesha ishara ya kuashiria mke wake kipenzi Monica kuwa ni mjamzito baada ya kuficha ncha ya matumbo yao kwa shati Lake.
Tendo limetokea Airport ambapo mke wa Masanja Mkandamizaji (MONICA) alimsindikiza mme wake na Masanja katika kukwepa kamera zetu ndipo alipofanya ficho hilo kwa kutumia shati lake.
Huu ni muendelezo wa ziara zake za huduma ya mahubiri pamoja na uimbaji na safari hii akielekea Kanda ya ziwa mkoani Mwanza, kama Tangazo hili hapa chini linavyojieleza lenyewe.
Ndugu msomaji wetu tunaomba usichoke kupitia na kusoma kilichoandikwa ndani ya blog yetu ya www.sayarinewz.blogspot.com ambayo pia kwa sasa inapatikana kwenye application yetu pendwa ya Sayarinewz App inayopatikana Google Playstore
Friday, September 22, 2017
JESCA ATUMA KOMBORA KWA RAIS WA WASAFI
Mrembo kutoka Burundi aliyejipatia followers wa kutosha toka Bongo anayejulikana kwa jina la Jesca. Ameibuka na kauli hii baada ya mashabiki wa Diamond Platnum kusema anataka Kiki, yeye kasema hahitaji Kiki anachotaka ni kauli ya Diamond kuwa Mapacha wale ni wake au si wake, na kwa kuthibitisha hilo katoa mpaka wimbo ambao CHIBU kaonekana na huyu Shemeji yetu Jesca anaonekana humo kama video Queen. Jesca wimbo huo ndo uliowakutanisha yeye na Ngote na baada ya project hiyo ndipo walipoingia kwenye mahusiano yaliyoleta Mapacha hao. Ukiiangalia vizuri ile video inamuonesha Diamond wa wakati ule namaanisha yule wa Tandale. Baada ya kufanya mahojiano na Jesca, aliiambia Sayarinewz kuwa hana mpango na Kiki kwani yeye ni maarufu tayari hivyo kikubwa anahitaji haki yake tu.
Wednesday, September 20, 2017
LINAH SANGA ANASEMA PICHA ZA UTUPU KAMA KAWA
http://www.youtube.com/watch?v=Cx7UT25bewO
Mwanadada Linah Sanga leo amefanyiwa exclusive interview na Kituo cha luninga cha Channel 5 kupitia kipindi cha Enewz... Ambapo aliulizwa vipi kupiga picha za utupu? Linah kajibu kama kawa kikubwa ni ambavyo mimba ya pili itakavyonituma nifanye.. Sitii neno hapo..... Kikubwa endelea kutembelea blog yetu kwa habari motomoto na zile za Mastaa ni hapa hapa www.sayarinewz.blogspot.com ambayo kwa sasa inapatikana kwenye App yetu ya kijanja inayokwenda kwa Jina la Sayarinewz App. Usipate shida ingia Google Playstore search utaikuta kisha Download. Asante kwa Sapoti yako.
I
MATONYA AMESEMA ANAJUTA KUIFAHAMU KENYA
Mkongwe wa Bongofleva kutoka jijini Tanga asiyeisha vituko Matonya, ametoa kali ya mwaka baada ya kugundua kuwa kona zote zimebana na hawezi kufanya chochote kirahisi kama ilivyokuwa zamani,akapiga hesabu akaona hazisomi hata kidogo Ile anageuka nyuma hivi MASHILAWADU wamejaa na makamera yao akaona isiwe kesi akawatoka kama vile anarudi mara paaaaa kijana ndani ya Kenya. Jamaa akajua amejinusuru kutoka mikononi mwa Wanyapiaji, Mara MASHILAWADU hawa hapa.... Unajua kwanini alikuwa anawakwepa Wanyapiaji na kwenda kujichimbia nchini Kenya..... 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Kilichofuata hapo ilikuwa ni mnyonyo kwa kwenda mbele.
Kwa habari motomoto tafadhali tembelea blog yetu ya www.sayarinewz.blogspot.com ambayo iko ndani ya App ya kijanja zaidi ambayo ipo GOOGLE PLAYSTORE I download App uendelee kupata habari bila mipaka.
Subscribe to:
Posts (Atom)